BUKOBA SPORTS

Thursday, February 6, 2014

VIDEO MPYA YA SHAKIRA YAPIGWA MARUFUKU NCHINI COLOMBIA.

Mwanamuziki Shakira ambaye ni Raia wa Colombia amepata wakati mgumu kufuatia kutolewa kwa agizo kali kutoka kwa kiongozi mmoja wa serikali nchini humo kupigwa marufuku kwa vituo vyote vya Televisheni kucheza Video yake ya Can’t forget to remember you aliyomshirikisha Rihanna kutokana na kuchochea vitendo vya usagaji.

Akiongea kupitia televisheni ya taifa ya Colombia, Marco Fidel Ramirez alitoa agizo kali la Video hiyo kufungiwa kuchezwa kwenye kituo cha Televisheni nchini humo kwa kuchochea usagaji pamoja na matumizi ya bangi, pia aliongeza kwa kusema kwamba Video hiyo haina maadili na inaweza ikachochea mmomonyoko wa maadili kwa vijana wa taifa lao.

‘‘Our Shakira with her erotic video is promoting tobacco usage and has become the worst example for our youth,’ he wrote on his Twitter feed.

‘Shakira’s new video is a shameless case for lesbianism and immorality. It is a danger to children,’ he added, using the hashtag #PeligroVideoShakira, which translates to ‘Dangers of Shakira’s Video.’

Ramirez, who said the video was ‘simply gross’ and nothing more than an ‘apology’ for lesbians, added: ‘It sends a provocative message to weak people who can be polluted and induced to practice (lesbianism).’’

No comments:

Post a Comment