Bilbao walitangulia kufunga kwa Bao la Iker Muniain la Dakika ya 6 na Diego Costa kuisawazishia Atletico katika Dakika ya 22 kisha Koke kuipa Bao la ushindi kwenye Dakika ya 55.
Costa jana usiku akifanya mambo yake wakati wanacheza ugenini na Athletic Bilbao
Wachezaji wa Athletic Bilbao Mikel San Jose juu kwa juu kuwania mpira
Mchezaji wa Bilbao Markel Susaeta akichuana kuugombania mpira wa kichwa juu na Costa
Kocha wa Atletico Madrid head Diego Simeone akifurahia hapa baada ya kuona timu yake iko mbele ya bao 2-1.
No comments:
Post a Comment