KOCHA David Moyes amedai kuwa Sir Alex Ferguson angepata taabu Msimu huu wakati akielezea matatizo ya Timuyake kufanya vibaya huku akilaumiwa na lipo Kundi la Mashabiki limepanga kukodi Ndege ndogo ili ibebe Bango lililoandikwa: ‘THE WRONG ONE, MOYES OUT!’ wakati Man United watakapocheza na Aston Villa Mchana huu Uwanjani Old Trafford.
Man United wapo Nafasi ya 7 kwenye Ligi wakiwa Pointi 26 nyuma kupita walivyokuwa kwenye Ligi wakati kama huu chini ya Sir Alex Ferguson Msimu uliopita.
Moyes amesema: “Hata kama Sir Alex angekuwepo angepata taabu. Huu ni Msimu kinyume kabisa na uzoefu wa Man United na ndio maana tunaendeleza msimamo wa kujenga upya Timu na kuiendeleza.”
Moyes amedokeza kuwa tatizo moja kubwa ni kuwa na Wachezaji kadhaa ambao wamefikia mwisho wa uchezaji wao na inabidi wastaafu.
Kiungo Michael Carrick na Mabeki Patrice Evra na Nemanja Vidic wana Miaka 32, wakati Sentahafu Rio Ferdinand ana Miaka 35 na Ryan Giggs, ambae yuko Msimu wake wa 24 na Man United, ana Miaka 40.
Moyes amefafanua: "Watu wanajua Kikosi kimezeeka, na hii ingekuwa ngumu kwa yeyote kuiongoza Man United Msimu huu!"
Anders Lindegaard: Said he hadn't come to United to "pick his nose", but with two appearances all season, he's had plenty of time for that. 2

Phil Jones: Aggressive and committed, he needs a consistent run in his favoured central defensive role to prove his obvious worth.

Rio Ferdinand: Age has finally caught up with United's most expereinced defender, who will be on his way this summer after 13 years.
Patrice Evra: Has hardly had a break from playing left-back since he joined United in 2006, and it's begun to show in his performances.
Michael Carrick: Has lacked the assurance and conviction he has shown in recent seasons, an achilles injury and operation inhibiting him.
Ryan Giggs: At 40, has seen his appearances rationed even more. But still a class act on his day, as he proved with his display against Olympiakos.
Ferguson lifts the 2008 Champions League trophy after a penalty shootout victory against Chelsea in Moscow

All smiles: Moyes poses for photos back in July after being named the new Manchester United manager.

No comments:
Post a Comment