BUKOBA SPORTS

Sunday, March 9, 2014

FA CUP: SHEFFIELD UNITED 2 v CHARLTON 0, FULL TIME..RYAN FLYNN NA JOHN BRAYFORD WAIPATIA USHINDI SHEFFIELD.

Sheffield United mpaka sasa wanaongoza kwa bao 2-0 dhidi ya timu ya Charlton, Bao zikifungwa kipindi cha pili dakika ya 65 na dakika ya 67. Mfungaji wa bao la kwanza ni Ryan Flynn na bao la pili ni baada ya muda mfupi wa dakika mbili likifungwa na John Brayford katika dakika ya 67. Sheffield United, ambao wako Nigel Clough, Mtoto wa Nguli wa England, Bryan Clough, ni Timu ya Kwanza kutoka Daraja la Tatu kutinga Nusu Fainali ya FA CUP tangu Wycombe Wanderers walipofanya hivyo Mwaka 2001.
FA CUP:RATIBA/MATOKEO
ROBO FAINALI
Jumamosi Machi 8

Arsenal 4 v Everton 0
Jumapili Machi 9
 Sheffield United 2 v Charlton 0
17:00 Hull City v Sunderland
19:05 Manchester City v Wigan

NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13
FAINALI: Jumamosi Mei 17

No comments:

Post a Comment