BUKOBA SPORTS

Friday, March 28, 2014

KASEBA NA MASHALI WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI MARCH 29 PTA SABASABA


Bondia Japhert Kaseba akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa na Thomasi mashali kushoto mpambano utakaofanyika PTA Sabasaba siku ya jumamosi march 29.

Mabondia Thomasi Mashali kushoto na Japhert Kaseba wakiwa na mkanda ambao wataugombania katika ukumbi wa PTA sabasaba siku ya jumamosi.

Promota wa mpambano huo Ally Mwazoa akizungumza mbele ya waandishi wa habari

Mabondia Alani Kamote wa Tanga kushoto pamoja na Karage Suba wakiwa na mkanda watakaougombania kesho kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba.

Ally Mwazoa akisisitita jambo

No comments:

Post a Comment