Kwa sasa ni mapumziko, Everton wanaongoza bao 1-0.
Dakika ya 53 kipindi cha pili Romelu Lukaku anaipatia bao la pili Everton baada ya kupokea pasi kutoka kwa Gerard Deulofeu.
Dakika ya 88 Leon Osman anaipatia bao la tatu Everton baada ya kupata mpira kutoka kwa Romelu Lukaku.
No comments:
Post a Comment