
Wachezaji wa Manchester United Rio Ferdinand na Jonney Evans kwenye mazoezi na hapa walikuwa wanapasha mbele Nemanja Vidic leo kwenye uwanja wa mazoezi wa AON Complex, Manchester.

Kocha Mkuu wa Manchester United David Moyesakiwa karibu na Michael Carrick na Jonny Evans leo kwenye mazoezi tayari kwa kuvaana na Bayern Munich kesho Jumanne kwenye UEFA Champions Ligi.

Mbele ya Mshambuliaji wa Manchester United, David Moyes hakusogelea...
David Moyes na Darren Fletcher

David Moyes na Rio Ferdinand

Ni Man United vs Bayern Munich kesho!!

Marouane Fellaini akiteta jambo kwa furaha na Adnan Januzaj pamoja na Phil Neville leo kwenye mazoezi wakati wanapasha kujiweka tayari kukwaana na Bayern Munich.
No comments:
Post a Comment