Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi Tanzania Taswa, Juma Pinto, akijieleza mbele ya wajumbe na wanachama wa Taswa wakati akiomba kura kurejea kukiongoza chama hicho kwa muhura wa pili. Uchaguzi Mkuu wa Taswa umefanyika leo mchana kwenye Ukumbi wa NSSF Water Front. Katika uchaguzi huo Juma Pinto ameibuka kidedea na kuchaguliwa kuwa mwenyekiti kwa awamu nyingine.
Akiomba kura...
George John, akitangaza kujiondoa kuendelea kuwania nafasi ya Katibu Msaidizi.
Katibu Mkuu wa Taswa, Amir Mhando, akiomba kura.
Patrick Nyembela, akiomba kura kwa niaba......
Shija, akiomba kura kuwa Mweka hazina....
Wajumbe wakitafakari....
Meza kuu.....
Baadhi ya wajumbe na wagombea Ujumbe.....
Wajumbe.....
Wajumbe....
Mwenyekiti wa Taswa Fc, Majuto Omar (katikati) akiwa sambamba na wajumbe....
Mgombea Tulo Chambo akitafakari.....
Wajumbe.....
Wagombe nafasi za ujumbe wakijinadi kuomba kura mbele ya wajumbe....
Wajumbe na baadhi ya wagombea....
No comments:
Post a Comment