BUKOBA SPORTS

Saturday, March 29, 2014

YANGA SC WALIPOALIKWA CHAKULA CHA MCHANA WILAYANI BAHI NA MKUU WA WILAYA BAHI MH. BETTY MKWASA WAKATI WAKITOKEA MJINI TABORA


Betty Mkwasa akiwa na wachezaji wa Yanga nyumbani kwake Bahi.

Mkurugenzi wa Fedha Eliya Jonas akiwa na Beey Mkwasa pamoja na Cannavaro — in Bahi.



Mkuu wa Wilay Bahi Betty Mkwasa akiwakaribisha viongozi na wachezji w Yanga wilayani Bahi


Mama aliwapa zawadi vijana nyama za kuchoma, maji, soda, juice, karanga za kuchemsha, wine nk — in Bahi.





Tegete na Betty Mkwasa
PICHA ZOTE NA YANGA SC, BAI

No comments:

Post a Comment