BUKOBA SPORTS

Friday, April 11, 2014

KAZI IPO NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA! REAL MADRID KUANZIA NYUMBANI NA BAYERN MUNICH, CHELSEA UGENINI NA ATLETICO MADRID.


Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kimeeleweka na sasa mabingwa watetezi Bayern Munich watacheza dhidi ya dhidi ya Real Madrid.
Madrid ndiyo watakaoanzia nyumbani dhidi ya mabingwa hao ambao wameingia nusu fainali kwa kuing’oa Man United kwa jumla ya mabao 4-2.
Madrid walivuka kwa kuwaondoa Borussia Dortmund kwa jumla ya mabao 3-2.


Wakati nusu fainali ya pili, itakuwa dhidi ya Chelsea ambao wataanzia ugenini dhidi ya Atletico Madrid.

No comments:

Post a Comment