BUKOBA SPORTS

Tuesday, April 29, 2014

PETER OKOYE WA PSQUARE ANUNUA MKOKO MPYA AINA YA 2014 BENTLEY GT

Memba wa kundi la Psquare, Peter Okoye ameamua kuvunja kibubu na kuTaste The Money kwa kununua mkoko mpya aina ya Bentley GT toleo la mwaka 2014 huku akitaja kuteketeza kiasi cha Naira milioni 30 katika ununuzi wa ndinga hilo ukiwa ni sawa na yale wanayotumia marapa wakubwa waishio nchini Marekani.

”Ma new BABY….I’m sure @Lolaomotayo2011 wuld be jelous of her. #BentleyGT2014 #Bentleyatlanta” aliandika Peter kwenye ukurasa wake wa Instagram na kisha kuposti picha za ndinga hilo

Aliongezea ”MY TESTIMONY! @papiijameh stop hating. U 2 will soon Taste The Money. Lol #Bentley2014

The cool ride is worth north of N32 million.

No comments:

Post a Comment