BUKOBA SPORTS

Friday, April 25, 2014

TITO VILANOVA AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 45


Kocha wa zamani wa Barcelona Tito Vilanova amefariki akiwa na miaka 45, imetangaza Club hiyo.
Katika statement waliyoitoa Barca wamesema: " Club inatoa pole juu ya kifo cha TitoVilanova, ambae amefariki leo hii akiwa na miaka 45, Barcelona.
Vilanova, Midfielder wa zamani, alikuwa akiugua ugonjwa wa saratani ya koo kwa zaidi ya miaka 2, ugonjwa uliomlazimisha kuachia ngazi kama boss wa Barcelona.
Vilanova alichukua madaraka kwa Guardiola mwanzoni mwa msimu wa 2012/2013, lakini alilazimka kuchukua likizo ya miezi minne kati ya December 2012 na April 2013 kwa ajili ya matibabu nchini Marekani, na kutibiwa.

Vilanova ambae alilazwa katika hospitali iliyoko Barcelona wiki iliyopita ameacha mke na watoto wawili.

  Vilanova nafasi yake ilichukuliwa na  Gerardo Martino


Vilanova alishinikiza kuchukuwa kombe la La Liga mwaka 2013, Na hapa akilinyanyua juu Kombe hilo.

Vilanova alichukua madaraka kwa Guardiola mwanzoni mwa msimu wa 2012/2013
Enzi hizo: Vilanova na Pep Guardiola kwenye uongozi na Klabu ya Barcelona.

KUHUSU TITO VILANOVA:

1968: Born September 17 in Bellcaire d'Emporda, a Catalonian village.
1988: Comes through the Barcelona youth set-up along with fellow midfielder Pep Guardiola, but cannot break into the first team, playing for two years at Barcelona B.
1990: Joins lower-league Figueres.
1992: Moves to Primera Division Celta Vigo, but fails to hold down a first-team place.
1995: Leaves Celta.
2002: Retires from playing after short spells in the lower leagues with Badajoz, Real Mallorca, Lleida, Elche and finally Gramenet.
2007: After working as technical director at Tarrassa, Vilanova becomes Guardiola's assistant at Barcelona B. The pair help the team to promotion to Segunda Division B.

2008: June - Guardiola takes over as coach of Barcelona and Vilanova comes with him as his assistant. The pair win the league, cup and Champions League in the first season in charge. Two more league titles, another Champions League crown and two Club World Cups follow.
2011: November 22 - Undergoes surgery on his parotid salivary gland in Barcelona and spends three weeks recovering after being discharged.
2012: April 27 - Appointed new Barcelona head coach, after Guardiola announces he will not renew his contract.
June 15 - Vilanova signs a two-year contract.
December 19 - Barcelona announce Vilanova will have surgery on the parotid gland for a second time and faces approximately six weeks of chemotherapy after the return of his cancer.
2013: March 26 - After undergoing 10 weeks of chemotherapy and radiotherapy treatment in New York, Vilanova returns to Barcelona.
April 6 - Returns to the Nou Camp touchline for the first time in a 5-0 home victory over Real Mallorca.
April 26 - Speaks to the media for the first time since his treatment, saying: "I feel with desire and with strength I want to continue next season."
May 11 - Barcelona clinch their 22nd Primera Division title as rivals Real Madrid are held to a draw by Espanyol.
July 19 - Barcelona announce Vilanova is stepping down to continue his treatment for cancer.
2014: April 25 - Barcelona announce Vilanova's death, at the age of 45.

No comments:

Post a Comment