Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake la tatu kwa timu yake Real dhidi ya Dortmund usiku huu.
Cristiano Ronaldo leo ameendelea kupata zaidi bao na leo hii akiwafunga bao la tatu Borussia Dortmund na kufikisha bao 14.
Gareth Bale ndie aliefunga Bao la Kwanza katika Dakika ya 3 tu baada kuunganisha pasi safi ya Daniel Carvajal na kumzidi akili Kipa Roman Weidenfeller
Bao la Pili la Real lilifungwa katika Dakika ya 27 kupitia Isco kwa Shuti la chini toka Mita 20.

Bao la Pili la Real lilifungwa katika Dakika ya 27 kupitia Isco kwa Shuti la chini toka Mita 20.
Kipindi cha pili dakika ya 57 C. Ronaldo anaipachikia bao la tatu na kufanya 3-0 dhidi ya Borussia Dortmund baada ya kupewa pasi safi na Luka Modric.
Hadi Mapumziko Bao zilikuwa Real 2 Dortmund 0.
Katika Dakika ya 57, Mchezaji Bora Duniani, Cristiano Ronaldo, alipiga Bao la 3 baada kumtoka Kipa Roman Weidenfeller kufuatia kupokea pasi safi ya Luka Modric.
Hilo ni Bao la 14 kwa Ronaldo kwenye UEFA CHAMPIONS LIGI Msimu huu na ameifikia Rekodi ya Ronaldo ya Lionel Messi aliefunga Bao 14 katika Mechi 11 za UEFA CHAMPIONS LIGI Msimu wa 2011/12 wakati Ronaldo amechukua Mechi 8 tu.
Ronaldo hakumaliza Mechi hii baada ya kuumia na kutolewa nje katika Dakika ya 80.
No comments:
Post a Comment