BUKOBA SPORTS

Friday, May 2, 2014

DK BILAL AWASILI BUKOBA TAYARI KWA KUWASHA MWENGE WA UHURU


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jioni hii kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na Vijana wa 'Scout' wa mkoa wa Kagera, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jioni hii kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi, waliompokea kwenye uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba leo jioni.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, mkewe Mama Zakhia Bilal, wakifurahia ngoma ya asili ya kabila ya Wahaya baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jioni hii kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.


Makamu wa Rais Dk Gharibu Bilali amewasili katika Manispaa ya Bukoba kwa ajili ya uzinduzi wa mbio za mwenge Kitaifa.

DAS wa Bukoba (kushoto) Bw Ndyamukama akiwa na meneja wa uwanja wa ndege wa Bukoba




Mh Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini akiwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Bukoba wakiwa uwanja wa ndege kumpokea makamu wa Rais



Mh Diwan Murungi Kchwabuta akisalimiana na MH Amina saidi Mkurugenzi wa sensa nchini

Bw Richard akiwa uwanja wa ndege



Kulia na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Zippola Pangani




MH Khamis Kagasheki akiteta kitu na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanal Mstaafu Fabian Massawe


Ndege ikiwasili




MH kAGASHEKI AKIWA NA Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kagera Costancia Buhiye



Karibu mkuu


Makamu wa Rais akivishwa Skafu
Makamu Meya wa Manispaa ya Bukoba ALexsandar Ngalinda akimkaribisha Makamu wa Rais katika Manispaa yake



Makamu wa Rais akisalimiana na Baba ASKOFU WA KANISA LA AUTHODOX

Makamu wa Rais akisalimiana na Kaimu shekhe wa Mkoa wa Kagera Haruna Kichwabuta







Makamu wa Rais akisalimiana na Baba ASKOFU Methodius Kilain







Dada Rose Kajirita akisalimiana na Makamu wa Rais



Kikundi cha ngoma cha kakau kikitumbuiza uwanjani










Kikundi cha kwaya BCC kikiwa Ikulu ndogo Bukoba













Makamu wa Rais akiwa na mke wake Ikulu ndogo akisomewa taarifa ya Mkoa wa Kagera

Waziri wa Habari,vijana, michezo na utamaduni akitoa taarifa ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za mwenge itakavyokuwa katika uwanja wa Kaitaba


Mkuu wa mkoa akisoma taarifa ya Mkoa




Naibu Waziri JumaNgamia




MH kARAMAGI

Mh Karamagi akiwa na Balozi Kagasheki Ikulu ndogo

OCD Bukoba akiwa na Kamanda wa Police Mkoa wa Kagera Mayunga

Mh Kagasheki akiwa na RAS wa Kagera Nasoro Mnambilla

Katibu wa ccm Bukoba Manispaa Janat Musa akiwa na Naibu Meya Alexsanda Ngalinda Ikulu ndogo Bukoba

No comments:

Post a Comment