BUKOBA SPORTS

Thursday, May 1, 2014

KUMEKUCHA BUKOBA!! MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA 2-5-2014 YAKAMILIKA,WANAFUNZI WA ALAIKI WAPEWA SARE,KOFIA, VIATU NA MYAMVULI


Kama ulikuwa una muda umeingia katika Uwanja wa Kaitaba ,ni tofauti sana na ulivyo sasa, Wahenga walinena kufa kufaana hakika haya maneno yametimia kwa vitendo katika uwanja wa Kaitaba. Ujio na uzinduzi wa mbio za mwenge Kitaifa katika Mkoa Wa Kagera hakika umeleta faraja kwa uwanja kufanyiwa ukarabati wa hali ya juu kama unavyoonekana.


Kushoto ni Mhandisi Stephen wa Manispaa ya Bukoba akifuatilia kwa karibu maendeleo ya maandalizi katika uwanja wa Kaitaba



Vijana kazini...

Ulinzi na usalama unaimarishwa kadri siku zinavyozidi kusogea

Jukwaa kuu


Gari likishusha vifaa vya wanafunzi wa Alaiki

Hiyo ndio kaitaba

Kaitaba kwa mbali

Tunajitahidi kuangaika kupata picha nzuri ili uweze kutofautisha ulivyokuwa na sasa,kupata picha za hivi si rahisi kama unavyotazama kirahisi, akili, kutulia na uwezo wa camera ndio unapata kitu kkwa mbali si kila camera inaweza.



Sare zote zikiwa na nembo ya NMB


Wanafunzi wakiwa wameshavaa sare zao


Hali imebadilika sana katika uwanja wa kaitaba panavutia na kupendeza

Teacher akiwajibika


Kushoto ni Mama Adventina Matungwa mkurugenzi wa makampuni na mahoteli ya Walkgard ambao watapamba uwanja wote wa Kaitaba na kuonekana katika rangi za Taifa na hiyo kazi inaendelea

Mwanafunzi akijaribu viatu vyake



Mmoja ya wakufunzi wa Alaiki akichambua viatu kwa ajili ya watoto wa Alaiki



Hakika vijana wameiva sawasawa,na wako tayari kuonyesha umaili wao 2-5-2014 katika uwanja wa kaitaba

No comments:

Post a Comment