Wafungaji upande wa timu ya Barcelona ni Lionel Messi dakika ya 23kipindi cha kwanza huku Alexis Sánchez akifunga bao la pili dakika ya 67 kipindi cha pili.
Getafe bao zimefungwa na mchezaji mmoja Lafita katika dakika ya 37 na bao la pili kalifunga na likiwa la kusawazisha dakika za majeruhi dakika ya 90 na kwenye muda wa dakika za nyongeza.
No comments:
Post a Comment