
Kocha wa Muda, Ryan Giggs

Kocha Sunderland Gus Poyet
Kipindi cha kwanza dakika ya 30 Sebastian Larsson anaichoma bao United na mpira kwenda mapumziko kwa bao hilo 1-0 dhidi ya wenyeji Manchester United kwenye uwanja wao wa Old Trafford.

Van Persie akiwa nje kwenye benchi akiusoma mchezo

Kocha wa Muda Giggs akiwa karibu na Nick Butt

Nani leo alicheza baada ya kukaa nje kwa muda mrefu

Giggs akiwaza la kufanya!

Alama tatu muhimu ili kujiondoa kwenye kundi la kushuka daraja hizi nimezipata!!
VIKOSI:
Manchester United starting XI
De Gea, Jones, Ferdinand, Vidic, Evra, Nani, Carrick, Fletcher, Young, Mata, Hernandez.
Sunderland starting XI
Mannone, Vergini, Alonso, Brown, O'Shea, Cattermole, Larsson, Colback, Johnson, Borini, Wickham.
No comments:
Post a Comment