BUKOBA SPORTS

Saturday, May 3, 2014

ENGLAND: LEICESTER CITY YAPANDA LIGI KUU KWA KISHINDO BAADA YA KUIFUNGWA BAO 1-0 DONCASTER, MFUNGAJI NI NUGENT!!


LIGI ya Championship, Daraja la chini ya Ligi Kuu England, Leo imemaliza Msimu wake na wakati ilikuwa tayari inazo Timu mbili zilizopanda moja kwa moja kwenda Ligi Kuu England, vita iliyobaki ilikuwa kukamilisha Timu ya 4 ambayo itaenda Mechi za Mchujo kupata Timu moja ya mwisho itakayopanda kuingia Ligi Kuu England. The only way is up: Nigel Pearson's side will be playing Premier League football next seasonTupo Ligi kuu msimu ujaooooo!!!!
Timu hizo mbili ambazo zimepanda moja kwa moja ni Mabingwa wa Championship, Leicester City, ambao walipanda wakiwa na Mechi 6 mkononi na pia kutwaa Ubingwa mapema Mwezi uliopita, na nyingine ni Burnley ambayo imerejea tena Ligi Kuu England baada ya Miaka mitano walipoifunga Wigan Bao 2-0 hapo Aprili
21. Staying up: Birmingham manager Lee Clark holds aloft winger Jordon Ibe after the final whistleFuraha....kwa wachezaji
Last-gasp: Paul Caddis rises to head home in the 93rd-minute at the Reebok Stadium
Vile vile, Timu mbili zilikuwa zimeshapatika na ilibaki moja ya kushushwa kucheza Ligi 1 Msimu ujao.
Katika Mechi hizi za mwisho za Leo, Brighton iliifunga Nottingham Forest Bao 2-1 na kufanikiwa kukukamata Nafasi ya 6 na hivyo kutinga Mechi za Mchujo ikiungana na Derby County, QPR na Wigan ambazo zilishachukua Nafasi za 3, 4 na 5.
Great Scot: Caddis wheels away in jubilation after netting the equaliser
Timu hizo 4 ambazo zitatinga Mechi za Mchujo zitafanyiwa Droo maalum kupanga Mechi mbili za Mtoano na Washindi wake kukutana Fainali Wembley na Mshindi kupanda Daraja na kucheza Ligi Kuu England Msimu ujao. Mzee Clark akifurahia hapa!!!Wafungaji: Nikola Zigic na CaddisLeaving it late: Brighton striker Leonardo Ulloa celebrates his last-gasp strikeMshambuliaji Straika wa Brighton Leonardo Ulloa...akipetaIn with a shout: Brighton will take on Derby in the Championship play-offs
Timu za Kushuka Daraja
Tayari, Timu ya Mkiani, Yeovsil, imeshashuka Daraja tangu mwishoni mwa Mwezi Aprili pamoja na Barsley na Timu moja nyingine ambayo Leo imeungana nazo ni Doncaster ambayo ilifungwa na 1-0 na Mabingwa Leicester City huku Birmingham City wakinusurika baada kusawazisha Bao Dakika za mwisho walipotoka 2-2 na Bolton Wanderers.
Relegated: Doncaster trudge off the pitch after losing 1-0 at LeicesterDoncaster, hoi kwa kichapo cha bao 1-0 Disbelief: Chris Brown (right) looks shellshocked after Birmingham's late rally

No comments:

Post a Comment