BUKOBA SPORTS

Saturday, May 3, 2014

WEST HAM UNITED 2 v TOTTENHAM 0, SPURS WASHIKWA UGENINI UPTON PARK!! WAFUNGWA BAO MBILI NA RED JUU!!!

Bao za West Ham zimepatikana kipindi cha kwanza, Bao la kwanza likiwa ni bao la kujifunga wao wenyewe kwa kichwa kupitia kwa Kane dakika ya 27 na bao la pili likipatika dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza kupitia kwa Downing dakika ya 44. Wachezaji wa West Ham United wakishangilia kwa mbwembwe baada ya kupata bao la pili huku Spurs wakicheza pungufu wakiwa 10 tangu kipindi cha kwanza dakika ya 25 baada ya Younes Kaboul kupewa kadi nyekundu.
VIKOSI:
West Ham:
Adrian, Demel, Tomkins, Reid, McCartney, Nolan, Taylor, Noble, Diame, Downing, Carroll.
Subs: Jarvis, Armero, Vaz Te, Collins, Jaaskelainen, C Cole, Nocerino
Goal: Kane OG 27, Downing 44

Tottenham: Lloris; Naughton, Dawson, Kaboul, Rose; Lennon, Paulinho, Sigurdsson, Eriksen; Adebayor, Kane (Chiriches 27).
Subs: Friedel, Fryers, Bentaleb, Pritchard, Sandro, Soldado
Red card: Kaboul

No comments:

Post a Comment