BUKOBA SPORTS

Monday, May 26, 2014

MISS DAR CITY CENTRE 2014 APATIKANA

Hatimaye mbio za kumsaka Miss Dar City Centre 2014 zimehitimishwa juzi katika ukumbi wa Dar es Salaam Free Market baada ya mshiriki namba kumi na saba, Jihan Dimechk kutawazwa mshindi wa Miss Dar City centre 2104.

Washiriki wa Miss Dar City Centre wakitoa burudani

Washiriki wa Miss Dar City Centre wakitoa burudani
washiriki wa Miss dar City centre 2014 katika picha ya pamoja wakisubiri kutangazwa Tano bora

Wakisubiri kutangazwa tano bora

Washiriki waliofanikiwa kuingia tano bora Miss dar City centre 2104 Nasreen Abdul (12), Francisca Simon (2), Naomi Kisaka (5) Sabina Thomas (15) na Jihan Dimechk (17)

Washiriki tano Bora wakiuliza Maswali

mtazamaji akipozi Red Carpet

Pozi za red carpet

Washiriki wa Miss Dar city centre 2014 wakifanya show ya ufunguzi

Washiriki Miss dar city centre 2014 wakifanya show ya ufunguzi Washiri wa Miss Dar city centre katika mavazi ya ufukweni

Washiriki wa Miss dar city centre katika mavazi ya ubunifu

Msanii wa bongo fleva TID ndiye aliyekuwa akitumbuiza usiku huo

Tid akiwa jukwaani anatumbuiza

TID akiwaburudisha watazamaji

Baadhi ya watazamaji wa Miss Dar city centre 2014 Washiriki wa Miss dar city Centre 2014 katika mavazi ya Jioni

washiriki wa Miss dar City centre 2014 katika picha ya pamoja wakisubiri kutangazwa Tano bora

Wakisubiri kutangazwa tano bora

Washiriki waliofanikiwa kuingia tano bora Miss dar City centre 2104 Nasreen Abdul (12), Francisca Simon (2), Naomi Kisaka (5) Sabina Thomas (15) na Jihan Dimechk (17)

Washiriki tano Bora wakiuliza Maswali

Mshiriki namba tano(Naomi Kisaka) akijibu swali

Mshiriki namba 15 ( sabina thomas) akijibu swali

Miss dar City centre talent 2014 akivishwa taji Mshindi wa Shindano Miss dar City centre 2014 Jihan Dimechk akiwaamepozi katika tabsamu la furaha baada ya kutangazwa na kuvalishwa taji la kuwa Miss dar City centre 2104.

No comments:

Post a Comment