BUKOBA SPORTS

Wednesday, May 14, 2014

PORTUGAL YATAJA KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA 2014!! RONALDO KUIONGOZA PORTUGAL!!

MCHEZAJI BORA DUNIANI Cristiano Ronaldo ataiongoza Portugal kwenye Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil kuanzia Juni 12 baada Kocha Paulo Bento kuteua Kikosi chake cha awali cha Wachezaji 50.
Huko Brazil, Portugal wapo KUNDI G pamoja na Germany, USA na Ghana na watafungua dimba na Germany hapo Juni 16.


KIKOSI KAMILI:
GOALKEEPERS:
 Anthony Lopes (Lyon), Beto (Sevilla), Eduardo (Braga), Rui Patricio (Sporting Lisbon)

DEFENDERS: Andre Almeida (Benfica), Antunes (Malaga), Bruno Alves (Fenerbahce), Fabio Coentrao (Real Madrid), Joao Pereira (Valencia), Neto (Zenit), Pepe (Real Madrid), Ricardo Costa (Valencia), Rolando (Inter Milan)

MIDFIELDERS: Andre Gomes (Benfica), Joao Mario (Vitoria), Joao Moutinho (Monaco), Miguel Veloso (Dynamo Kiev), Raul Meireles (Fenerbahce), Ruben Amorim (Benfica), William Carvalho (Sporting Lisbon)

STRIKERS: Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Eder (Braga), Helder Postiga (Lazio), Hugo Almeida (Besiktas), Ivan Cavaleiro (Benfica), Nani (Manchester United), Rafa (Braga), Ricardo Quaresma (Porto), Varela (Porto), Vieirinha (Wolfsburg)

No comments:

Post a Comment