
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na Vijana wa 'Scout' wa mkoa wa Kagera, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini Asubuhi hii tayari kwa kuwasha Mwenge wa Uhuru. Picha na Faustine Ruta

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal. Wimbo wa Taifa ukiimbwa na tayari kwa ufunguzi wa Sherehe hizi za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge hapa kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini.

Vijana wa Alaiki wakiwa Tayari

Mtangazaji wa TBC Shaban Kissu

Viongozi mbalimbali jukwaa kuu wakifuatilia kwa makini Sherehe hizi za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge Uwanjani Hapa Kaitaba, Bukoba Mjini.

Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM), Balozi Khamis Kagasheki

Viongozi wakiwa wamevalia sare za Mwenge!

Viongozi Mbalimbali, Kulia ni Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni Dokta Fenera Mkangala, pia wapo viongozi wengine wa vyama vya siasa na wadau wengine wapo tayari jukwaani. Pia wapo wawakilishi toka Burundi, Rwanda na Uganda.

Vijana wa alaiki wakionesha Onesho lao kwenye Uwanja wa Kaitaba leo



Vijana wa Alaiki wakiendelea kuonesha Onesho lao



Hapa Alaiki walionesha Bendera ya Taifa

Alaiki waliongozwa na Askari hawa!!!

Alaiki wakitengeneza Umbo

Mwalimu Roboz Mc wa hapa Bukoba Mjini..akiendelea na kazi yake.

Kakau Band wakiwasha moto leo hii..kwenye Sherehe za Mbio za Mwenge

Kakau Band Bukoba wakitumbuiza na Wazungu nao ni Kakau!

Mzungu akipagawa baada ya kufungwa na Ngoma ya Bukoba...

Ni patashika!!! Wasanii wa Ngoma wa Kakau Band leo hii na Wazungu walikuwa humo humo!!

Msanii wa muziki wa Kizazi kipya kutoka mjini Zanzibar, It, akiimba wimbo maalumu wa kuhamasisha mbio za mwenge.

Mwalimu akipitia Vijana wake!!

Ngoma nyingi yenye Asili yake hapa Bukoba nayo haiukuwa nyuma....

Unauliza Ngoma Bukoba!!!?

Ngoma ikishika kasi!!! leo kwenye Sherehe ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge zilizofanyika kitaifa hapa Mjini Bukoba.

Ngoma yenyewe ilimfurahisha kila mmoja!

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Fabian Massawe akitoa Hotuba yake

Mkuu wa Mkoa wa Kagera akitambulisha Baadhi ya Viongozi Jukwaani

Viongozi Mbalimbali Meza kuu.

Raha ya Mwenge ndio hii!!! Mwenge Utuangazie!!

Bukoba Oyeeeee!!! Bukobaaaaa.....Amani na Maendeleooo!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiendelea kutoa Hotuba yake

Askari wa Mwenge

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal

Furaha kwa Viongozi hapa!

Viongozi mbalimbali wa Hapa Bukoba

Wananchi...wakisherehekea Sherehe hizi za Mbio za Mwenge

Mc's Rutakwa, Mwl Joyce Roboz kwenye picha ya pamojahuku wakiwa wamevalia sale

Askari wa kuendesha mbio za Mwenge akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) kwenye picha ya pamoja na viongozi wengine

Kazi ya Kuendesha Mbio za Mwenge si lele Mama...Cheki hapa!!!!

Nchi nzima tutaitembelea kwa Mbio za Mwenge...Askari wa Kuendesha Mbio hizi za Mwenge

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitambuana na Askari moja wapo wa Mbio za mwenge.

Safari Njema!!!

Tayari Mwenge unawaka: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwasha Mwenge.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa Sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge huo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba Mkoa wa Kagera leo Mei 2, 2014. Mwenge huo unatarajia kuitimisha mbio zake Oktoba 14 mkoani Tabora, ambapo zinatarajia kufungwa na mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni Dokta Fenera Mkangala wakifurahia Kuwaka kwa Mwenge leo hii kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza neo baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru ambao leo ndio umezinduliwa

Mbio hizi zilianzia hapa hapa Uwanjani Kaitaba....

MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Zipola Pangani (katikati) akikimbia wakati wa mbio za Mwenge leo hii


No comments:
Post a Comment