BUKOBA SPORTS

Thursday, May 15, 2014

TAMASHA LA MTU KWAO LAANZA KUTIMUA VUMBI ARUSHA ,NGOMA MBALIMBALI ZARINDIMA


mmoja wa wawadau wa utamaduni akiwa anawaonyesha malagwanani jinsi ya kutumia mishale

wanafunzi wakiwa wanapewa mafunzo ya kutengeneza magari ya mabati

machifu wakibadilishana uzoefu na ukabila wao

malagwanani wa kimasai wakiwa katika picha ya pamoja





chifu wa kinadi ambayo ipo katika wilaya ya Itilima mkoani Simuyu Wenceslaus Clement akiwa anabadilishana mawazo na malagwanani wa kimasai

mkutunzi wa kabila la wabarabaigi akiwa anawaonyesha malegwanani wa kimasai mishale ya sumu ambapo alisema kuwa mishale hiyo ina sumu kali ambayo imetengenezwa na miti aina saba ambayo ikikupiga tu auwezi kukimbia ata hatua ishirini kabla ujaanguka na dawa yake aipatikani hospitalini zaidi ya wao wenyewe wanaotengeneza mishale hiyo kukupa dawa


maandalizi ya machalari yakiendelea

chifu Gilbert Rugal Isambe akiwa anapokea maelezo ya jinsi ya kutengeneza nguo za kabila ya kibarabaigi kutoka kwa mkufunzi wa kabila hilo ambalo jina atukuweza kulipata

mnyama aina ya ngamia nae pia aliletwa kwa ajili ya kuwa kivutio katika tamasha hili na hapa wananchi na wanafunzi wakiwa wanawaaangalia wanyama hao

mwanadada wa libeneke la kaskazini akiwa amejumuika na waimbaji wa ngoma ya kichaga wakiwa wanacheza pamoja hii yote ni kuuenzi utamaduni wetu

wanafunzi wa shule za msingi nao walikuwepo wanaendelea kuburudika na ngoma

vyakula vya jadi vikiwa vinaendelea kupikwa live

picha ya juu na chini ni maandamano ya machifu kutoka mikoa mbalimbali yakiwa yanaingia katika uwanja wa sheikh Amri Abeid kwa ajili ya sherehe za tamasha la MTU KWAO lililoanza kufanyika jijini hapa


waandishi wa habari akiwemo mdada mdada wa woindeshizza blog wakiwa wanaburudika na chakula cha jadi ya kimasai kiitwacho loshoro

No comments:

Post a Comment