Sherwood, Miaka 45, alitwaa wadhifa wa Umeneja Mwezi Desemba Mwaka Jana baada kufukuzwa kazi Andre Villas-Boas na yeye kusaini Mkataba hadi mwishoni mwa Msimu wa 2014/15.
Inaaminika hivi sasa Tottenham inao walengwa wawili, mmoja akiwa Meneja wa Southampton, Mauricio Pochettino, na Bosi wa Ajax, Frank de Boer.
No comments:
Post a Comment