Luis Suarez alitajwa kuwa mshambuliaji hatari zaidi barani Ulaya kwa msimu uliopita, lakini kwenye Kombe la Dunia kwa sasa anapambana na muda kupona maumivu yake baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti mwezi uliopita.
KILA wakati zinazofika fainali za Kombe la Dunia, washambuliaji makini kila mmoja wao huwa na ndoto za kwenda kufunga mabao ili kunyakua Kiatu cha Dhababu cha mikikimikiki hiyo. Hata hivyo, ni wachache tu ndiyo waliofanikiwa kuibuka kidedea.
Zimefika fainali nyingine za Kombe la Dunia na safari hii zitafanyika nchini Brazil kuanzia keshokutwa Alhamisi. Kama kawaida washambuliaji wa timu zitakazoshiriki fainali hizo watakwenda kupambana kwa dhamira moja ya kuonyesha uhodari wa kutikisa nyavu na kuinyakua tuzo hiyo binafsi.
Kwenye orodha ya mastraika makini watakaochuana kuwania tuzo hiyo wapo wengi, kuanzia kwa Mario Balotelli wa Italia, Robin van Persie wa Uholanzi na Karim Benzema wa Ufaransa na wakali hao watakuwa kwenye vita hiyo kali kumsaka bingwa wa Kiatu cha Dhahabu kwenye Kombe la Dunia.
Makala haya yanazungumzia mastaa wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kukinyakua kiatu hicho cha dhahabu kama wataanza michuano hiyo wakiwa kwenye viwango vyao vya siku zote ambazo vimewafanya kuwa mahiri zaidi wanapokuwa ndani ya uwanja.
5. Sergio Aguero
Licha ya kusumbuliwa na hali ya kuwa majeruhi mfululizo, straika huyo wa Argentina ni hatari anapolikaribia goli. Aguero ni aina ya washambuliaji ambaye timu nyingi zingependa kuwa na huduma yake uwanjani. Staa huyo alifunga mabao 28 katika mechi 34 alizochezea mabingwa wa Ligi Kuu England, Manchester City.
Hivyo kama straika huyo ataendelea kuwa kwenye kiwango hicho kwa mechi zote kwenye fainali hizo za Kombe la Dunia, huku kikosini Argentina akiwa na uhakika wa kupata pasi za mwisho kutoka kwa Lionel Messi na Angel Di Maria, hilo litamweka kwenye nafasi nzuri ya kufunga mabao mengi.
4. Neymar
Mwanzo wake klabuni Barcelona umekumbana na nyakati nyingi ngumu na kushindwa kuonyesha makali yake halisi, lakini kwenye Kombe la Dunia, Neymar atakuwa na kitu tofauti cha kukifanya ndani ya uwanja.
Staa huyo anapewa nafasi kubwa ya kulibeba taifa la Brazil ambalo ni wenyeji wa fainali hizo na alianza kuonyesha makali yake ya kutikisa nyavu kwenye mchezo wa kirafiki wa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Panama.
Kama Brazil ya Luiz Felipe Scolari itakuwa kwenye ubora wake na Neymar akawa staa wao kwenye safu ya ushambuliaji, fowadi huyo mwenye umri wa miaka 22 ana nafasi kubwa ya kuwa mshindani wa kweli kwenye vita hiyo ya kuwania Kiatu cha Dhahabu.

GOLDEN BALL WINNERS
1930 Jose Nasazzi (Uruguay)
1934 Giuseppe Meazza (Italy)
1938 Leonidas (Brazil)
1950 Zizinho (Brazil)
1954 Ferenc Puskas (Hungary)
1958 Didi (Sweden)
1962 Garrincha (Brazil)
1966 Bobby Charlton (England)
1970 Pele (Brazil)
1974 John Cruyff (Netherlands)
1978 Mario Kempes (Argentina)
1982 Paolo Rossi (Italy)
1986 Diego Maradona (Argentina)
1990 Salvatore Schillaci (Italy)
1994 Romario (Brazil)
1998 Ronaldo (Brazil)
2002 Oliver Kahn (Germany)
2006 Zinedine Zidane (France)
2010 Diego Forlan (Uruguay)
1934 Giuseppe Meazza (Italy)
1938 Leonidas (Brazil)
1950 Zizinho (Brazil)
1954 Ferenc Puskas (Hungary)
1958 Didi (Sweden)
1962 Garrincha (Brazil)
1966 Bobby Charlton (England)
1970 Pele (Brazil)
1974 John Cruyff (Netherlands)
1978 Mario Kempes (Argentina)
1982 Paolo Rossi (Italy)
1986 Diego Maradona (Argentina)
1990 Salvatore Schillaci (Italy)
1994 Romario (Brazil)
1998 Ronaldo (Brazil)
2002 Oliver Kahn (Germany)
2006 Zinedine Zidane (France)
2010 Diego Forlan (Uruguay)
GOLDEN BOOT WINNERS
1930 Guillermo Stabile (Argentina), 8
1934 Oldrich Nejedly (Czechoslovakia), 5
1938 Leonidas da Silva (Brazil), 7
1950 Ademir (Brazil), 8
1954 Sandor Kocsis (Hungary), 11
1958 Just Fontaine (France), 13
1962 Albert (Hungary), Ivanov (Soviet Union), Garrincha, Vava (both Brazil), Jerkovic (Yugoslavia), Sanchez (Chile) 4
1966 Eusebio (Portugal), 9
1970 Gerd Muller (Germany), 10
1974 Grzegorz Lato (Poland), 7
1978 Mario Kempes (Argentina), 6
1982 Paolo Rossi (Italy), 6
1986 Gary Lineker (England), 6
1990 Salvatore Schillaci (Italy), 6
1994 Salenko (Russia), Stoichkov (Bulgaria), 6
1998 Davor Suker (Croatia), 6
2002 Ronaldo (Brazil), 8
2006 Miroslav Klose, (Germany), 5
2010 Thomas Muller (Germany), 5

GOLDEN BALL 2014 CORAL ODDS
Lionel Messi 6/1
Neymar 8/1
Cristiano Ronaldo 12/1
Sergio Aguero 20/1
Andres Iniesta 20/1
Luis Suarez 25/1
Andrea Pirlo 25/1
Eden Hazard 25/1
Mesut Ozil 33/1
Angel Di Maria 33/1
Mario Gotze 40/1
Gonzalo Higuain 40/1
Oscar 40/1
Xaxi 40/1
Bastian Schweinsteiger 40/1
Thiago Silva 40/1
Wayne Rooney 50/1
Toni Kroos 50/1
Diego Costa 50/1
Mario Balotelli 50/1
Arjen Robben 50/1
Paul Pogba 50/1
Robin van Persie 66/1
Alexis Sanchez 66/1
Sergio Ramos 66/1
Arturo Vidal 66/1
David Luiz 100/1
Wesley Sneijder 100/1
Steven Gerrard 100/1
Javier Mascherano 250/1
Neymar 8/1
Cristiano Ronaldo 12/1
Sergio Aguero 20/1
Andres Iniesta 20/1
Luis Suarez 25/1
Andrea Pirlo 25/1
Eden Hazard 25/1
Mesut Ozil 33/1
Angel Di Maria 33/1
Mario Gotze 40/1
Gonzalo Higuain 40/1
Oscar 40/1
Xaxi 40/1
Bastian Schweinsteiger 40/1
Thiago Silva 40/1
Wayne Rooney 50/1
Toni Kroos 50/1
Diego Costa 50/1
Mario Balotelli 50/1
Arjen Robben 50/1
Paul Pogba 50/1
Robin van Persie 66/1
Alexis Sanchez 66/1
Sergio Ramos 66/1
Arturo Vidal 66/1
David Luiz 100/1
Wesley Sneijder 100/1
Steven Gerrard 100/1
Javier Mascherano 250/1
GOLDEN BOOT 2014 CORAL ODDS
Lionel Messi 7/1
Neymar 12/1
Sergio Aguero 14/1
Cristiano Ronaldo 14/1
Fred 20/1
Luis Suarez 22/1
Gonzalo Higuain 22/1
Diego Costa 25/1
Romelu Lukaku 25/1
Thomas Muller 28/1
Jo 28/1
Robin van Persie 33/1
Hulk 40/1
Mario Balotelli 33/1
Edinson Cavani 33/1
Eden Hazard 33/1
Alexis Sanchez 33/1
Teofilo Gutierrez 33/1
Miroslav Klose 40/1
Arjen Robben 40/1
Wayne Rooney 40/1
Fernando Torres 50/1
Andre Schurrle 50/1
Pedro 50/1
Ezequiel Lavezzi 66/1
Cesc Fabregas 66/1
David Villa 66/1
Mario Gotze 66/1
Olivier Giroud 66/1
Rodrigo Palacio 66/1
Neymar 12/1
Sergio Aguero 14/1
Cristiano Ronaldo 14/1
Fred 20/1
Luis Suarez 22/1
Gonzalo Higuain 22/1
Diego Costa 25/1
Romelu Lukaku 25/1
Thomas Muller 28/1
Jo 28/1
Robin van Persie 33/1
Hulk 40/1
Mario Balotelli 33/1
Edinson Cavani 33/1
Eden Hazard 33/1
Alexis Sanchez 33/1
Teofilo Gutierrez 33/1
Miroslav Klose 40/1
Arjen Robben 40/1
Wayne Rooney 40/1
Fernando Torres 50/1
Andre Schurrle 50/1
Pedro 50/1
Ezequiel Lavezzi 66/1
Cesc Fabregas 66/1
David Villa 66/1
Mario Gotze 66/1
Olivier Giroud 66/1
Rodrigo Palacio 66/1
No comments:
Post a Comment