Furaha!!
Kipa wa AS Roma Bogdan lobont alionekana kuvurugwa jana kipindi cha kwanza..
Rooney akimbana mchezaji wa As Roma Mattia
Mashabiki wa Manchester United
Dakika ya 36 Manchester United walianza kufungiwa bao na Wayne na kufanya 1-0 dhidi ya Roma na katika kipindi hicho hicho cha kwanza katika dakika ya 39 Manchester United wakapata bao la pili na kufanya 2-0, Bao likifungwa na Mata.
Dakika ya 44 Rooney anaifungia bao la tatu United na kufanya 3-0 dhidi ya Roma huko Denver, Colorado na Mtanange unakwenda Mapumziko!
Shabiki wa United akiwekwa mkononi baada ya kushindwa kujizuia!!
Dakika ya 75 kipindi cha pili Pjanic anawapachikia bao Roma na kufanya 3-1.
Dakika ya mwishoni dakika za lala salama 88 AS Roma walilazimisha na kupata penati iliyofungwa na Totti na mpira kumalizika kwa 3-2, United wakiibuka na Ushindi.
Van Gaal mambo safi
VIKOSI:
Manchester United: Johnstone; Jones, Evans, Blackett; Valencia, Cleverley (c), Herrera, James, Welbeck; Mata, Rooney.
Subs: De Gea, Lindegaard, Amos, Smalling, Shaw, Michael Keane, Fletcher, Young, Zaha, Kagawa, Nani, Lingard, Will Keane.
Roma: Skorupski; Calabresi, Benatia, Romagnoli, Emanuelson; Uçan, Keita, Paredes; Iturbe, Destro, Florenzi
No comments:
Post a Comment