











Wadau
Bw. Simba akitimua vumbi kwenye Sherehe hiyo
Ilikuwa hatai kwa Vijana wa Mjini
Bw. Ernest kiwa na Mkewe wakati anaagwaaa..
Wakina Mama nao walikuwepo na hapa walikuwa wakitoa pongezi zao kwa Kijana wao Ernest Nyambo.
Mpaka kieleweke...hapa mpaka asubuhi...!!!
Mama Prisira Mwainunu akitoa neno lake
Mama Prisira Mwainunu
Zawadi wa Tisheti aliyopewa Ernest ikiwa na Ujumbe tosha!
Jamco ndie kaachiwa nafasi ya Uongozi pamoja na Mama Prisira Mwainunu katika kikundi cha Wanapamoja Bukoba ambayo ilikuwa ikishikiliwa na Kaka Ernest Nyambo na Dada Salome a.k.a Chui!
Kwenye Upande wa Bukoba Veteran Kiongozi ni Super Mkude uongozi alioachiwa kutoka kwa Ernest Nyambo ambaye makazi yake yanahamia Jijini Dar es salaam.
Niliongoza Vizuri katika Nafasi yangu mliyokuwa mmenipa kwa nafasi ya pekee na nilijitahidi kadri ya Uwezo wangu kuendesha gurudumu la maisha pamoja na kushirikiana nanyi pamoja vizuri naomba na Nyie mliochaguliwa kwenye nafasi hii mjitume na mfanye vizuri...hayo yalikuwa ni maneno ya Ernest kwa Viongozi walioteuliwa katika nafasi hiyo ya Uongozi huo.
Pongezi kwa Jamal Kalumuna baada ya kuteuliwa kuongoza Kundi la Wanapamoja Bukoba
Viongozi wapya Mama Prisira Mwainunu na Jamal Kalumuna
Tutafanya kazi kwa kujituma na kwa Upendo
Jamal Kalumuna na Mama
Muziki kidogo uligongwa
Pongezi za kumwaga zikamiminika..
Dada Salome akitoa neno
Dada Salome alikuwa akisaidiana na Ernest katika Mambo mengi hususani ya Biashara zake hapa Mjini Bukoba.
Dada Salome a.k.a Chui akimpongeza Kaka Ernest wakati wa Sherehe yake ya kumuaga iliyofanyika katika ukumbi wa Lina's Bukoba
zawadi








No comments:
Post a Comment