BUKOBA SPORTS

Saturday, August 16, 2014

LEICESTER 2 vs EVERTON 2, HAKUNA MBABE!

Leicester City, Timu iliyopanda Daraja Msimu huu na ikicheza Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza baada ya Miaka 10, ilitoka nyuma mara mbili na kutoka Sare 2-2 na Everton.
Everton walitangulia kufunga katika Dakika ya 20 kupitia Aiden McGeady na Jose Ulloa, Mchezaji mpya, kusawazisha Dakika mbili baadae.
Aiden McGeady scores the first goal for Everton
Steven Naismith aliwapa Everton Bao la Pili Dakika ya 45 kabla ya Haftaimu tu lakini zikibaki Dakika 4 Mpira kwisha Chris Wood alisawazisha kwa Leicester.
Leonardo Ulloa of Leicester City scores Leonardo Ulloa akifunga bao Leonardo Ulloa of Leicester City celebrates scoring the equaliserLeonardo Ulloa akishangilia bao lakeLeonardo Ulloa celebrates scoring as Tim Howard is beatenKipa Tim Howard akiwa hoi baada ya kufungwa bao

No comments:

Post a Comment