BUKOBA SPORTS

Saturday, August 16, 2014

QPR 0 vs 1 HULL CITY, JAMES CHESTER AWAPA USHINDI HULL UGENINI.

James Chester celebrates with team mates after scoring the first goal for HullJames Chester akishangilia bao lake..Bao la Dakika ya 52 la James Chester limewapa Hull City ushindi wa 1-0 walipocheza Ugenini na QPR ambao walimchezesha Mchezaji wao mpya Rio Ferdinand kwa mara ya kwanza.QPR's Joey Barton in action with Hull's Jake Livermore
QPR walipata Penati katika Dakika ya 85 lakini Penati hiyo iliyopigwa na Charlie Austin iliokolewa na Kipa Allan McGregor.


VIKOSI:
QPR:
Green, Caulker, Ferdinand, Dunne, Simpson, Faurlin, Mutch, Barton, Traore, Remy, Austin
Akiba: Hill, Phillips, Onuoha, Henry, Murphy, Hoilett, Zamora.

Hull City: McGregor, Bruce, Chester, Davies, Elmohamady, Huddlestone, Livermore, Robertson, Snodgrass, Ince, Jelavic
Akiba: Figueroa, Meyler, Brady, McShane, Harper, Aluko, Quinn.
REFA: Craig Pawson

No comments:

Post a Comment