BUKOBA SPORTS

Friday, August 1, 2014

MAKOCHA WA BARCELONA WAKITOA MAFUNZO KWA MAKOCHA WA LIGI KUU

Kocha Isaac Guerrero wa FC Barcelona akitoa mafunzo kwa Makocha wa Ligi Kuu na Ligi daraja la kwanza

Mafunzo kwa Makocha wa Ligi Kuu na Ligi daraja la kwanza



Kocha Isaac Guerrero wa FC Barcelona akitoa mafunzo kwa Makocha wa Ligi Kuu na Ligi daraja la kwanza jana kwenye uwanja wa Karume jijini Dare salaam ikiwa ni sehemu ya mafuzo hayo ya siku mbili yaliyoandaliwa na Castle Lager kupitia ushirikiano wake na FC Barcelona. (Picha: Executive Solutions)

No comments:

Post a Comment