BUKOBA SPORTS

Tuesday, August 19, 2014

NGAO YA JAMII: YANGA v AZAM FC SEPTEMBA 13!

Mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Azam na Yanga itakayofanyika Septemba 13 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Wachezaji wa Timu ya Azam FcBaadhi ya wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao walipoitungua Azam Fc mwaka jana

No comments:

Post a Comment