Ashley Young amefunga bao mbili peke yake katika kipindi cha kwanza dakika ya 21 na dakika ya 37 huku Javier Hernández akifunga bao la tatu katika dakika ya 80. Real Madrid wao wamepata bao lao moja kwa Mkwaju wa penati kupitia kwa Gareth Bale katika dakika ya 27.
Ashley Young akishangilia bao lake dhidi ya Real Madrid
Umati wa Mashabiki wapatao 109,000 walitinga katika Uwanja wa Michigan huko Ann Arbor
Timu zilijipanga tayari kwa kuanza kipute
No comments:
Post a Comment