Dakika ya 88 zikiwa zimebaki dakika 2 tu mtanange kukoma, Raúl García aliwasawazishia bao Atletico Madrid na kufanya 1-1 baada ya kulishwa mpira na Koke. Na Mtanange ulimalizika kwa nguvu sawa wote wakigawana pointi kwa kutoka sare..! Mtanange huu una marudiano hapo ijumaa August 22 kwenye uwanja wa Estadio Vicente Calderon usiku saa tano na dk 30.
Rodriguez akishangilia na kupongezwa baada ya kufunga bao dakika ya 81
James Rodriguez akiachia shuti kali
Cristiano Ronaldo chini akijiuguza kwenye muda wa mapumziko
Luka Modric akiendesha mpira...
Cristiano Ronaldo akikabwa na Mtu mbili wa Atleetico Madrid
Ronaldo
Bale na Koke wakikabanana kwenye kipindi cha kwanza..
VIKOSI:
Real Madrid: Casillas, Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo, Modric, Kroos, Alonso, Bale, Ronaldo, Benzema.
Akiba: Keylor, Isco, Di Maria, Varane, Arbeloa, Coentrao, Rodriguez.
Atletico Madrid: Moya, Juanfran, Miranda, Godin, Siqueira, Mario, Gabi, Koke, Saul, Raul Garcia, Mandzukic.
Akiba: Oblak, Gimenez, Ansaldi, Tiago, Cebolla Rodríguez, Griezmann, Raul Jimenez.
RATIBA
Jumatano Agosti 19
23:59 Real Madrid v Atletico de Madrid [El Estadio Santiago Bernabeu]
Ijumaa Agosti 22
23:30 Atletico de Madrid v Real Madrid [Estadio Vicente Calderon]
Real Madrid 4-1 Atlético Madrid (aet - Champions League final 2013/14)
Atlético Madrid 2-2 Real Madrid (La Liga 2013/14)
Atlético Madrid 0-2 Real Madrid (Copa del Rey 2013/14)
Real Madrid 3-0 Atlético Madrid (Copa del Rey 2013/14)
Real Madrid 0-1 Atlético Madrid (La Liga 2013/14)
No comments:
Post a Comment