Wachezaji wa Arsenal wakifanya mazoezi tayari kukutana uso kwa uso kwenye Mchezo wao wa Uefa champions ligi leo usiku na Besiktas
Arsenal walifanya mazoezi hayo kwenye uwanja wao wa mazoezi wa London Colney
Arsene Wenger akiwapa somo wachezaji wake wakati wa mazoezi
Meneja Wenger akiwa tayari kuivaa Besiktas leo hii jumanne
Mathieu Flamini na Laurent Koscielny
Jack Wilshere akiwa anafanya mazoezi makali tayari kwa kucheza Uefa
Jembe jipyaa!!
Wilshere na Oxlade-Chamberlain wakifanya mazoezi jana jumatatu
Sanchez
Wojciech Szczesny, Oxlade-Chamberlain, Chambers na Wilshere wakijiandaa kupaa kuelekea Uturuki.
No comments:
Post a Comment