MSHALE
WA KIFO NI FILAMU YA KITANZANIA ILIYO TENGENEZWA KWA KUZINGATIA MAADILI
YA KITANZANIA YENYE MASTAA WA FILAMU NCHINI kama vile AISHA BUI, GABO
ZIGAMBA, MZEE CHILO NA WENGINE KIBAO WAKALI KATIKA TASNIA YA FILAMU
NCHINI FILAMU HII INASAMBAZWA NCHI NZIMA NA YUNEDA ENTERTAINMENT....KWA
MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA 0712 422 766 AU 0782 736 676 WAHI NAKALA YAKO
SASA..
GABO akiwa ndani ya Location...Ni shida tupu!!

Moja ya Uhondo uliomo ndani ya filamu ya MSHALE WA KIFO, inaingia sokoni jumatatu hii, usiiiikoseeeeeeeee...

Moja ya Msanii hatari katika Filamu hiyo ajulikanaye kwa jina la Gabo.
No comments:
Post a Comment