
Bao la Pili la England lilifungwa Dakika ya 90+4 tena na Danny Welbeck baada Rickie Lambert, alieingizwa kuchukua nafasi ya Rooney, kumpasia Sterling ambae alimsogezea Welbeck na kumalizia.
Mechi za Makundi EURO 2016 zinaendelea tena leo Jumanne Usiku.
Welbeck akishangilia baada ya kuwamaliza Switzerland kwenye Euro 2016
Welbeck akipongezwa na Fabian Delph
Welbeck ndiye aliyewamaliza Switzerland
Sterling akikacha na mpira na kisha kutoa pande kwa Welbeck
RATIBA MECHI ZA LEO JUMANNE
Jumanne Septemba 9
19:00 Kazakhstan v Latvia [Kundi A]
19:00 Azerbaijan v Bulgaria [Kundi H]
21:45 Croatia v Malta [Kundi H]
21:45 Norway v Italy [Kundi H]
21:45 Czech Republic v Netherlands [Kundi A]
21:45 Iceland v Turkey [Kundi A]
21:45 Andorra v Wales [Kundi B]
21:45 Bosnia/Herzegovina v Cyprus [Kundi B]
21:45 Israel v Belgium [Kundi B]
No comments:
Post a Comment