BUKOBA SPORTS

Wednesday, September 10, 2014

VAN GAAL ANAWEZA KUBADILI WACHEZAJI HATA 8, BADO MAN UNITED IKAWA SAWA.

Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal sasa ana kikosi kipana na anaweza kubadili hadi wachezaji wanane na bado akacheza akiwa hana hofu. Tokea alipopata sare na Sunderland ikiwa ni mechi yake ya pili ya Ligi Kuu England, van Gaal ametumia pauni milioni 96 kwa ajili ya usajili. Kutokana na sasa kuwa na kikosi kipana kama kile cha Chelsea au Manchester City, van Gaal anaweza kubadili wachezaji au vikosi tofauti anavyotaka yeye. Angalia namna Mholanzi huyo atakavyokuwa ‘komfotabo’ na vikosi hivi viwili na bado anaweza kubadili tena.

No comments:

Post a Comment