LUIS SUAREZ: KUCHEZA!
Meneja wa Barcelona, Luis Enrique, ametoboa kuwa Luis Suarez atacheza Mechi yake ya kwanza ya La Liga baada ya kumaliza Kifungo chake cha Miezi Minne lakini Meneja huyo amekataa kusema kama Straika huyo wa Urguay ataanza Mechi hiyo.
VIKOSI VINAWEZA KUWA HIVI:
11 WA KUANZA.
Real Madrid (Possible, 4-4-2): Casillas; Carvajal, Sergio Ramos, Pepe, Marcelo; Isco, Kroos, Modric, Rodriguez; Ronaldo, Benzema.
Out: Bale (groin).
Barcelona (Possible, 4-3-3): Claudio Bravo; Alves, Mathieu, Pique, Alba; Mascherano, Xavi, Iniesta; Neymar, Messi, Suarez.
Referee: G Manzano
LA LIGA:RATIBA
Jumamosi Oktoba 25
17:00 UD Almeria v Athletic de Bilbao
19:00 Real Madrid CF v FC Barcelona
21:00 Valencia v Elche CF
23:00 SD Eibar v Granada CF
23:00 Cordoba v Real Sociedad
Jumapili Oktoba 26
14:00 Malaga CF v Rayo Vallecano
19:00 RCD Espanyol v Deportivo La Coruna
21:00 Sevilla FC v Villarreal CF
23:00 Getafe CF v Atletico de Madrid
No comments:
Post a Comment