BUKOBA SPORTS

Sunday, October 26, 2014

BURNLEY 1 vs 3 EVERTON

Bao la Everton limefungwa na Samuel Eto'o mapema dakika ya 4 na kufanya Everton kuwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Wenyeji Burnley.
Dakika ya 20 Mchezaji D. Ings aliwasawazishia bao Burnley na kufanya 1-1.
Dakika ya 29 Romelu Lukaku aliwachoma Bao la pili Burnley na kufanya 2-1.
Samuel Eto'o aliwafunga bao la tatu tena Burnley katika dakika ya 85 na kufanya 3-1 dhidi ya Wenyeji Burnley.

No comments:

Post a Comment