LIONEL MESSI atalazimika kwenda Mahakamani kujibu Kesi inayomkabili ya ukwepaji Kodi baada ya Rufaa yake kupinga kuhusishwa na Kesi hiyo kutupwa na Jaji huko Barcelona. |
Mwezi Agosti, Jorge Messi alilipa Euro Milioni 5 kwa Wakusanya Kodi huko Spain ikiwa ni Kodi inayodaiwa kukwepwa kulipwa pamoja na riba yake.
Mshahara anaolipwa Messi na Barcelona ni Euro Milioni 16 kwa Mwaka na pia huvuna Mapato mengine mengi kutoka kwa Wadhamini Dunia nzima.
No comments:
Post a Comment