BAO za Slovakia zilifungwa na Juraj Kucka dakika ya 17 huku bao la Ushindi likifungwa na Miroslav Stoch dakika za lala salama dakika ya 87. Bao la kufutia machozi la Spain limefungwa na Paco Alcacer dakika ya 82 na mtanange huo kumalizika kwa 2-1 Slovakia wakiibuka kidedea.Mpira huo ulichezeshwa na Mwamuzi Bjorn Kuipers na kutazamwa na mashabiki 9478.
No comments:
Post a Comment