BUKOBA SPORTS

Sunday, October 19, 2014

SOUTHAMPTON 8 vs 0 SUNDERLAND

Southampton wameisambaratisha Sunderland kwa Bao 8-0 kwa Bao za kujifunga wenyewe za Santiago Vergini na Liam Bridcutt, Graziano Pelle, Bao 2, Jack Cork, Dusan Tadic, Victor Wanyama na Sadio Mane.
Santiago Vergini aljifunga bao na kufanya 1-0Graziano Pelle aliongeza la pili na kufanya 2-0

Jack Cork aliwafungia bao la tatu na kufanya 3-0 dhidi ya Sundeland

Liam Bridcutt alimfunga kipa wake na kufanya 4-0
Graziano Pelle alitupia bao la pili kwa upande wake hapa...na kufanya 5-0

Dusan Tadic alitupia jingine tena na kufanya 6-0 huku Sunderland wakendelea kuchanganyikiwa zaidi..

Victor Wanyama alifanya 7-0

Wanyama akishangilia bao lake
Sadio Mane alimaliza mchezo kwa kufanya 8-0

RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Oktoba 18

Man City 4 vs 1 Tottenham
Arsenal 2 vs 2 Hull
Burnley 1 vs 3 West Ham
Crystal Palace 1 vs 2 Chelsea
Everton 3 Aston Villa 0
Southampton 8 vs 0 Sunderland
Newcastle 1 vs 0 Leicester

No comments:

Post a Comment