Timu ya Nyika stars wakimalizia kupiga kasia kwenye Ziwa Tanganyika ambao ni mabingwa wa Mkoa na watauwakilisha Mkoa kwenye mashindano ya kanda tarehe 6 Novemba jijini Mwanza
Washiriki wanawake wakipiga kasia katika mashindano ya kupiga kasia kwa kutimia mitumbwi ndani ya ziwa Tanganyika
Washindani wakijiandaa na mchuano
Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Ramadhani Maneno.jpg)
Kiongozi wa washindi wa kwanza kwa upande wa wanawake kutoka kikundi cha Katonga...
No comments:
Post a Comment