
Wachezaji wa Stoke City wakipongezana.
Jonathan Walters ameifungia bao la kichwa na kuipa Ushindi Stoke City leo Jumapili kwenye Ligi kuu England Bao hilo limefungwa kipindi cha pili dakika ya 76.
Kipindi cha kwanza timu zote zilijipatia bao kwa Mikwaju ya penati. Penati ya kwanza ilifungwa na Wilfried Bony katika dakika ya 34 na penati ya Stoke City ilipigwa na Charlie Adam katika dakika ya 43 baada ya Moses kujitupa ndani ya box na mwamuzi kudai ni penati.
Bony akifunga penati

Akishangilia bao lake

Moses kujitupa chini...Utata ulitokea!!! Mwamuzi akiteta na Wachezaji

Wachezaji wa Swansea wakishangaa na kujiuliza...!! kwa kile kilichotokea!!

Kocha wa Swansea City Monk akitoa maelekezo

Adam akishangilia bao lake la mkwaju wa penati
No comments:
Post a Comment