BUKOBA SPORTS

Sunday, November 9, 2014

FULL TIME:MTIBWA SUGAR 1-1 KAGERA SUGAR, RASHID MANDAWA ISAWAZISHIA BAO KAGERA!

Mpira umemaliza Manungu, Kagera Sugar wamesawazisha bao kupitia kwa Rashid Mandawa dakika ya 56 mchezo uliopigwa leo hii asubuhi saa 2:00, Mchezo wa Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara. Mchezo huo ulikuwa ni kiporo cha dakika 45 ambazo zilichezwa jana jumamosi na mpira kusimama kutokana na Mvua kubwa uliozuia mpira huo kusimama.Hivyo Bao lao Mtibwa Sugar liliendelea la 1-0 na leo Kagera kusawazisha bao na mpira kumalizika kwa 1-1.
Matukio ya mpambano huu yanafata punde...

No comments:

Post a Comment