Ushindi huu umepandisha Real hadi kileleni mwa La Liga huku Barcelona wakifungwa bao 1-0 Nyumbani kwao Nou Camp na Celta Vigo usiku huu.
Cristiano Ronaldo alifunga Bao lake Dakika ya Pili tu na James Rodrigueza kufunga 2 Dakika za 31 na 87 na Karim Benzema kufunga Dakika ya 54.
No comments:
Post a Comment