QPR 2 vs 2 MANCHESTER CITY, SERGIO AGUERO AINUSURU CITY KICHAPO UGENINI LOFTUS ROAD!
Bao la kusawazisha Man City limefungwa na Aguero dakika ya 32. Sergio Agüero Kaifungia bao tena City kusawazisha na kufanya 2-2. Bao la QPR la pili ni kujifunga wao wenyewe City kupitia kwa Martín Demichelis dakika ya 76.Austin anawapachikia bao la kwanza katika dakika ya 21 baada ya kupata bao mbili zote zinakatiliwa!
No comments:
Post a Comment