Barcelona walizinduka toka Bao 1-0 nyuma na kuifunga UD Almeria ugenini Bao 2-1 na kutwaa uongozi wa La Liga.
Almeria walitangua kufunga katika Dakika 37 kupitia Bifouma na Barcelona kurudisha Dakika ya 73 kwa Bao la Neymar na kupata Bao la ushindi Dakika ya 82 Mfungaji akiwa Jordi Alba huku Luis Suarez akiwa ndie mtengenezaji wa Bao zote mbili.
Kwenye Mechi hiyo, Lionel Messi mara mbili alipiga posti.
No comments:
Post a Comment