Kocha wa Timu ya Kagera Sugar Jackson Mayanja(kulia)
Manungu Turiani mpira umehairishwa kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha na uwanja kuwa na Matope kiasi cha mpira kutoendelea kutokana na Uwanja kujaa maji na Alama kutoonekana na kwa haraka ni kwamba mpira utaendelea tena kesho Asubuhi dakika 45 zilizobaki!!.
No comments:
Post a Comment