BUKOBA SPORTS

Sunday, November 9, 2014

SUNDERLAND 1-1 EVERTON

Huko Stadium of Light hii Leo, Penati ya Leighton Baines kwenye Dakika ya 76 imewapa Sare ya 1-1 Everton walipocheza na Wenyeji Sunderland.
Penati hiyo ilitolewa baada ya Rafu ya Connor Wickham kwa Seamus Coleman.

Bao la Sunderland llifungwa kwa Frikiki ya Sebastian Larsson, Dakika ya 67, baada ya Leighton Baines kumchezea Rafu Will Buckley.

No comments:

Post a Comment